Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaanza mchakato wa kumleta mshukiwa nchini aliyehusishwa na mauaji ya Agnes Wanjiru

  • | Citizen TV
    2,171 views
    Duration: 2:20
    Serikali imeanza rasmi shughuli ya kumleta nchini raia wa Uingereza aliyehusishwa na mauaji ya Agnes Wanjiru, Nanyuki mwaka wa 2012. Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma nchini Renson Ingonga tayari amewasilisha ombi la kumleta nchini mshukiwa huyo kutoka Uingereza kupitia afisi ya mkuu wa sheria nchini na ile ya Uingereza.