- 125 viewsUchaguzi Ghana: Wafuasi wa Upinzani washerehekea ushindi baada ya makamu wa rais kukubali kushindwa Wafuasi wa chama cha upinzani nchini Ghana walisherehekea nje ya ofisi ya makao makuu ya chama chao siku ya Jumapili, baada ya Makamu wa Rais Mahamudu Bawumia kukubali kushindwa na rais wa zamani, John Mahama, siku moja baada ya uchaguzi. Mgombea wa Chama cha National Democratic Congress alithibitisha ushindi wake kupitia mtandao wa X, ambao ulikuwa ukijulikana kama Twitter, kama “ushindi wa wazi.” Makamu wa rais wa Chama tawala cha New Patriotic Party alimpigia simu kumpongeza, Mahama alisema. Tume ya Uchaguzi bado haijatangaza matokeo rasmi. #ghana #uchaguzi #habari #afrika #voaafrika
Kiongozi wa chama tawala akubali kushindwa, upinzani furahani
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million