- 87 viewsWapiga picha wanaoinukia wa Kenya na wale watumiaji wa TikTok wanavyotumia mitaa ya eneo la Biashara la kati kati ya jiji la Nairobi-CBD kujipata fedha na pia mpiga gitaa na mtunzi wa nyimbo mashuhuri wa Marekani Jimi Hendrix akumbukwa. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU: Mpiga gitaa Jimi Hendrix akumbukwa
- - NSL promotion race ››
- 18 Jun 2025 - KNCHR has recorded 22 casualties during the Tuesday demonstrations calling for the resignation of Deputy Police Inspector General Eliud Lagat over his alleged involvement in teacher Albert Ojwang's murder.
- 18 Jun 2025 - Today’s protests took a sinister turn as police officers and hired thugs joined forces in plain sight. In a scene both brazen and unsettling, hired goons arrived on motorbikes, others armed with clubs and whips terrorizing innocent passers-by all under…
- 17 Jun 2025 - What had been intended as protests to demand accountability over the murder of teacher Albert Ojwang in police custody last week turned into an all-out clash pitting three groups: the police, protesters and hired goons.
- 17 Jun 2025 - The police officer who shot an unarmed mask vendor during the demonstrations held in Nairobi on June 17, 2025, has been arrested.
- 17 Jun 2025 - At around 10 p.m. on a cold night, a sudden sharp pain on the right side of her stomach sent 22-year-old Vestina Samson to the ground. Writhing in pain, Vestina’s family was unsure how to help her.
- 17 Jun 2025 - Three officers, among them the Officer Commanding Station at Mawego Police Station, where the late Albert Ojwang’ was briefly held before his controversial transfer to Nairobi, have now recorded statements as investigations gather pace.
- 17 Jun 2025 - The clip has since gone viral, sparking outrage across the country.
- 17 Jun 2025 - LeBron James may be daydreaming about Prime Day deals in his new Amazon commercial, but there’s no fantasy when it comes to his real-life focus: getting his knee healthy in time for training camp. The Los Angeles Lakers superstar plans to return for…
- 17 Jun 2025 - “As we speak, the patient is in theatre with the neurosurgical team,” Dr. Amoth said
- 17 Jun 2025 - Following this incident, the Inspector General of the National Police Service ordered the immediate arrest and arraignment of the officer involved. The said police officer has since been arrested,” Nyagah stated.