Kitaka FC yashinda Kombe la mama Haki baada ya kushinda Vimbwanga FC

  • | NTV Video
    176 views

    KITAKA FC ndio mabingwa wa kombe la mama haki baada ya kuwabwaga Vimbwanga FC mabao manne kwa nunge ugani Mwahima huko Likoni katika kaunti ya mombasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya