- 355 viewsVideo zilizorekodiwa na ndege zisizokuwa na rubani katika mji mkuu wa Syria, Damascus, zinaonyesha kwamba shughuli zinaendelea kama kawaida. Benki zimefunguliwa kwa mara ya kwanza tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar al-assad, ikiwa ni hatua inayoashiria kurejea kwa hali ya kawaida nchini humo. Video pia zinaonyesha maduka yakiwa yamefunguliwa, sawa na shughuli za ujenzi kuendelea. Usafi pia unaendelea mjini. Hatua ya kupinduliwa kwa utawala wa Bashar imepelekea nchi kadhaa katika eneo hilo na nchi zenye ushawishi mkubwa duniani kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya baadaye ya Syria baada ya waasi kuchukua udhibithi wa nchi. Wakazi wa Damascus wameonekana wakifanya usafi huku wengine wakipiga picha karibu na gari la kijeshi, siku chache baada ya waasi kuudhibiti mji huo. Wakazi wameelezea matumaini kwamba maisha yao yanakuwa sawa baada ya kuanguka kwa utawala wa rais Bashar al-Assad. Baadhi yao wameonekana wakikanyaga picha ya rais aliyepinduliwa na kuyasifu mataifa yote ya kiarabu kwa ushindi huo. Waziri mkuu wa Assad, Mohammed Jalali, amekubali kuachia madaraka kwa waasi. - Reuters #syria #damascus #alassad #voa
Hali ya utulivu mjini Damascus baada ya kupinduliwa Rais wa zamani Assad
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
- 7 Aug 2025 - This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
- 7 Aug 2025 - In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
- 7 Aug 2025 - The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.