Nairobi yakaribisha sherehe za Krismasi kwa mapambo na taa
Wafanyabiashara wameanza kuupamba mji wa Nairobi kwa matayarisho ya sherehe za Krisimasi katika hatua ambayo vile vile inavutia wateja katika mji huo mkuu wa Nairobi. Nairobi yakaribisha sikukuu ya Krismas kwa mataa ya Kristmas
Maduka yamepambwa kwa miti na taa za krismasi na idadi kubwa ya wakazi wa Nairobi waliohojiwa wanasema wanajitayarisha kwa sherehe za krismasi.
Hatua ya kuurembesha mji wa Nairobi ni sehemu ya utamaduni ambao hufanyika kila msimu wa krismasi katika nchi za Afrika Mashariki. - Reuters
#wafanyabiashara #kenya #mji #nairobi #kenya #krismasi #voa #voaswahili
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project