Je "Mhubiri" Kamlesh Pattni alienda wapi na kwa nini serikali za Marekani yataka kumwadhibu vikali?

  • | NTV Video
    538 views

    Katika miaka ya hivi karibuni, jina Kamlesh Pattni limekuwa likififia humu nchini. Sio wengi waliozaliwa katika miaka ya elfu mbili wanalifahamu jina hilo. Ila, wengi wa waliozaliwa kabla ya hapo wanalifahamu fika jina hilo, na wanakumbuka vizuri sakata ya goldenberg , ambapo wakenya walipoteza zaidi ya shilingi bilioni mia moja kwa Pattni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya