Serikali kutunza wafanyakazi wa umma baada ya ongezeko la hela za pensheni

  • | NTV Video
    88 views

    Serikali imepea kipaumbele uhifadhi wa pensheni za wafanyakazi wa umma. Waziri wa huduma za umma justin muturi amesema kwa muda wa mwaka mmoja sasa , wamerekodi ongezeko la uwekezaji wa wanachama kwa kiasi kikubwa na kusisitiza serikali itawatunza wanaostafu kwa njia ifaayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya