Serikali yahimizwa kuelekeza juhudi na kushauri mtoto wa kiume ili kupigana na dhulma za jinsia

  • | NTV Video
    48 views

    serikali na viongozi wa kidini nchini wametakiwa kuelekezea juhudi zao za kumwezesha mtoto wa kiume ambaye ametelekezwa kwa muda mrefu na jamii na kukosa ushauri na mwongozo ufaao. hali hii imemfanya kuwa hatari kubwa kwa mtoto wa kike kutokana na visa vingi vya dhuluma ambavyo vimeelekezewa jinsia hiyo. mwanahabari wetu lydia mwachiru ana uketo wa taarifa hiyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya