Wangechi Muchiri aibuka mshindi wa jumla wa mashindano ya Pink Target All Ladies Charity Sport

  • | NTV Video
    101 views

    Wangechi Muchiri aliibuka mshindi wa jumla wa Mashindano ya Pink Target All Ladies Charity Sport katika UWANJA wa Chama cha Kitaifa cha Wamiliki Bunduki (NGAO) huko Kirigiti katika Kaunti ya Kiambu mnamo Jumapili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya