22 Oct 2025 1:24 pm | Citizen TV 1,198 views Duration: 1:59 Waumini wa dini ya kihindi jiji Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, walifanya ibaada na maombi maalumu ya mwenda zake Hayati Raila Odinga, aliyezikwa siku chache zilizopita.