- 470 viewsSiku ya Jumanne (Desemba 10), Vikosi vya Rapid Support Forces - RSF, vilishambulia kwa mizinga mizito katika eneo linalodhibitiwa na jeshi huko Omdurman, sehemu ya jimbo la Khartoum, kulingana na wakazi. Mawakili wa dharura walisema siyo chini ya watu 20 waliuwawa, wakiwemo angalau watu 14 ambao walikuwa ndani ya basi ambao lilipigwa. Serikali ya jimbo hilo, inayodhibitiwa na jeshi, ilisema watu 65 walikuwa wameuwawa, na majeruhi wengine kadhaa walihamishiwa katika hospitali ya karibu ya Al-Naw. Miili iliyohifadhiwa katika mifuko iliwasili hospitali wakati waliojeruhiwa walikaguliwa na gavana wa Khartoum Ahmed Osman Hamza. Wanaharakati wa kutetea haki walisema takriban watu 127, wengi wao raia, wameuwawa nchini Sudan Jumatatu na Jumanne kutokana na mapipa ya mabomu na mashambulizi ya makombora kutoka pande zote zinazopigana. Miezi 20 ya vita kati ya jeshi na wanajeshi wa Rapid Support Forces RSF vinageuka na kuongezeka kwa umwagaji damu wakati juhudi za kusitisha vita zimekwama, na migogoro kwingineko imetawala mtizamo wa dunia. - Reuters #sudan #omdurman #vita #raia #rsf #wapiganaji #jeshi #khartoum #jimbo #vifo #voa #voaswahili
Watu 127, wengi wao raia wauwawa Sudan, Jumatatu na Jumanne
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
- 7 Aug 2025 - This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
- 7 Aug 2025 - In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
- 7 Aug 2025 - The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.