22 Oct 2025 1:28 pm | Citizen TV 1,410 views Duration: 1:38 Familia ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi Sheryl Ohanga aliyedaiwa kufariki baada ya kuanguka kutoka gorofani mjini Nyamira, sasa imejitokeza kupinga madai hayo ikidai mwana wao huenda alirushwa kutoka gorofa hiyo.