Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya shule zaathirika baada ya ziwa Turkana kufurika

  • | Citizen TV
    328 views
    Duration: 2:55
    Ni afueni kwa wanafunzi wa Shule ya msingi ya Kalokol fuoni mwa ziwa Turkana waliokukuwa wamesongamana kwenye madarasa baada ya madarasa yao kujaa maji baada ya wakfu wa Kenya Pipeline kuwajengea madarasa mapya matatu. Madarasa hayo sasa yatatumiwa kufanyia mitihani wa kitaifa.Ongezeko la maji katika ziwa Turkana limesababisha shule zaidi ya tano kusombwa na maji na hivyo kufanya wanafunzi kukosa mahali pa kusomea.