Skip to main content
Skip to main content

Walimu katika Shule ya Msingi ya Sultan Hamud wadai muda wanaotumia darasani unawathiri kiakili

  • | Citizen TV
    577 views
    Duration: 3:25
    Huku changamoto ya afya ya akili ikizidi kuwatatiza wananchi wengi nchini wakiwemo walimu, walimu kutoka kaunti ya Kajiado wamegeukia michezo kama jukwa la kuwahamasisha walimu kuhusu namna ya kupambana na changamoto hiyo. Kwenye hafla ya michezo iliyoandaliwa katika Shule ya Msingi ya Sultan Hamud Kajiado Mashariki, walimu wamekiri kuwa kuwepo darasani kwa muda mrefu kumesabisha msongo wa mawazo.