- 196 viewsKanda ya video iliyochukuliwa na ndege isiyokuwa na rubani kutoka kusini mwa Israel imeonyesha moshi mnene ukifuka kutoka katika majengo yaliyoharibiwa huko kaskazini mwa Gaza siku ya Alhamisi (Desemba 12), wakati vita vikiendelea kati ya Israel na Hamas. Vita vilianza baada ya watu wenye silaha wa kikundi cha Hamas kuzivamia jamii za Israel mnamo Oktoba 7, 2023, na kuua kiasi cha watu 1,200 na kuwateka takriban watu 250 na kuwapeleka katika eneo la Gaza, kwa mujibu wa hesabu za Israeli. Tangu wakati huo, jeshi la Israel limeharibu maeneo ya Gaza, na kuwaua karibu Wapalestina 45,000, na kuwakosesha makazi takriban wote milioni 2.3 na kuongezeka kwa njaa na magonjwa, kulingana na mamlaka ya afya za Palestina. Waisraeli na Wapalestina wanaonyesha juhudi mpya ya kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano, ikiwa ni mara ya kwanza kwa mwaka mzima, kusitisha mapigano huko Gaza na kuwarejesha Israel angalau mateka 100 ambao bado wanashikiliwa na Wapalestina huko Gaza. - Reuters #israel #wapalestina #shambulizi #vifo #Nuseirat #gaza #hamas #mateka #voa #voaswahili
Moshi mnene wafuka kutoka katika majengo wakati vita ikiendelea kati ya Israel na Hamas
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million