Trump apiga kengele kufungua Soko la Hisa kama mtu mashuhuri wa Jarida la Times
Rais-mteule Donald Trump akipiga kengele kufungua Soko la Hisa New York kama mtu mashuhuri mwaka huu
Rais-mteule Donald Trump alipiga kengele ya kufungua Soko la Hisa la New York Alhamisi baada ya kutambuliwa kwa mara ya kwanza na jarida la Time kama mtu mashuhuri Mwaka huu.
Heshima aliyopewa mfanyabiashara aliyegeuka kuwa mwanasiasa ni kipimo cha kurejea kwa Trump kwa kishindo kutoka rais wa zamani aliyetengwa aliyekataa kukubali kushindwa katika uchaguzi miaka minne iliyopita hadi kuwa rais-mteule aliyeshinda bila ya kudadisiwa kuingia White House mwezi Novemba. - (AP)
#trump #poy #personoftheyear #nyse #voa
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- The changes will influence how lenders operate.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
7 Aug 2025
- This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
7 Aug 2025
- In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
7 Aug 2025
- The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.