- 485 viewsJe ni utamaduni, au kawaida, au ni tabia? Kwa sababu yoyote ile, wananchi wa Angola wana desturi ya kuhakikisha viatu vyao vinang’ara kila asubuhi. Wavulana kama Tonilson wanapata kipato chao kwa kusafisha na kung’arisha viatu vya wateja wao. Kwa kwanza 200, Tonilson anang’arisha viatu kwa haraka kama mtu asiyekuwa na muda wa kupoteza wakati.Haachi kitu chochote, si mchoyo wa kutumia povu au dawa ya viatu. Nilipomwambia yeye ni kijana mwepesi zaidi katika jukumu hili, alitabasamu na kugeuza uso wake. Pengine kwa sababu kupongezwa hakutamzuia asipate njaa au kwasababu kanda za video kama hiyo bado hazijabadilisha maisha yake. @mayradelassalette #luanda #angola #shoeshine #wateja #tonilson #viatu #kungarisha #voa #voaswahili
Iwe mvua au jua, huko Luanda viatu lazima viwe vinang’ara
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
- 7 Aug 2025 - This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
- 7 Aug 2025 - In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
- 7 Aug 2025 - The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.