Skip to main content
Skip to main content

NCIC yamuita gavana Kahiga kujieleza zaidi kuhusu matamshi yake kuhusu kifo cha Raila

  • | Citizen TV
    6,470 views
    Duration: 3:00
    Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa sasa inasema imeanzisha harakati za kumuita gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kujieleza kuhusiana na matamshi yake kuhusu kifo cha hayati Raila Odinga. NCIC ikikosoa matamshi ya gavana i ikimtaka aombe rambi. Haya yanajiri huku baraza la magavana likijitenga na kauli ya gavana huyo ikitangaza kumtimua kama naibu mwenyekiti wake