- 5,502 viewsDuration: 2:35Wazee kutoka jamii mbalimbali leo wamezuru kaburi la aliyekuwa waziri mkuu Hayati Raila Odinga, wakitoa heshima zao za mwisho kwa mmoja wao. Wakifanya tambiko maalum, wazee hao waliwataka wakenya kuiga mfano wa mwendazake Raila Odinga haswa katika kusimamia ukweli