Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha utekelezaji wa sheria mpya ya udhibiti wa mitandao

  • | Citizen TV
    7,246 views
    Duration: 3:15
    Mahakama imesitisha utekelezaji wa sheria mpya kuhusu udhibiti wa mitandao iliyotiwa saini na rais William Ruto juma lililopita. Hii ni kufuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga sheria hiyo. Haya yanajiri huku viongozi wa kidini wakimkosoa Rais Ruto kwa kutia saini sheria hiyo tata pamoja na ile ya ubinafsishaji wa mashirika ya serikali