- 33,352 viewsDuration: 28:10Polisi nchini Uganda wamethibitisha vifo vya watu 46 huku wengine wengi wakipokea matibabu kufuatia ajali ya barabarani usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali zilisema idadi hiyo huenda ikaongezeka. Rais Yoweri Museveni amewaomba wanaotumia barabara hasa madereva wa magari kuwa waangalifu ili kuzuia majanga kutokea. Leila Mohammed ana taarifa zaidi. #Museveni #Uganda #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw