Skip to main content
Skip to main content

Gavana Kahiga aomba radhi kwa matamshi yake dhidi ya kifo cha Hayati Raila Odinga

  • | Citizen TV
    11,488 views
    Duration: 3:28
    Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga amejiuzulu rasmi kama Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, akisema matamshi yake ya hapo jana yaliyoonekana kushabikia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, yalieleweka vibaya. Aidha si mara ya kwanza kwa gavana huyo ambaye ana ulimi telezi kugonga vichwa vya habari kwa matamshi yake.