23 Oct 2025 11:35 am | Citizen TV 9,242 views Duration: 29:46 ODM inapambana kudumisha umoja wake Urithi aliowaachia hayati raila unapitia mawimbi Suala la ODM kusalia serikalini au la kwenye mizani Kunao wanaosema Hayati Raila alitaka ODM ijipange 2027