23 Oct 2025 1:08 pm | Citizen TV 361 views Duration: 1:34 Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu unaendelea kwa zaidi ya siku 30 sasa huku wanafunzi wakiendelea kusubiri kwa matumaini kuwa utatatuliwa karibuni.