Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mkasa wa moto Hillside Endarasha uliowauwa watoto 21 yakosa kuanza

  • | Citizen TV
    476 views
    Duration: 1:50
    Uchunguzi kuhusu moto uliosababisha vifo vya wavulana 21 shuleni Hillside Endarasha kaunti ya Nyeri mwaka uliopita umekosa Kuanza kama ulivyoratibiwa mahakamani nyeri, baada ya faili ya uchunguzi wa Polisi kuhusu moto huo kukosa kuwasilishwa.