23 Oct 2025 1:14 pm | Citizen TV 170 views Duration: 1:45 Kampeni ya Uhamasisho wa kukomesha ukeketaji imeanza mjini Wajir katika juhudi za kupambana na viwango vya juu vya visa hivyo katika eneo hilo.