Skip to main content
Skip to main content

Serikali yashirikiana na wabunifu kuboresha huduma za afya

  • | Citizen TV
    183 views
    Duration: 52s
    Serikali ya kitaifa kupitia wizara ya afya imeahidi kushirikiana na wabunifu ili kuhakikisha imeboresha huduma za afya kwa wote (UHC).Akizuzungumza kwenye uzinduzi wa kongamano la siku tatu la teknolojia na ubunifu wa masuala ya afya hapa jijini nairobi , mkurugenzi wa afya ya msingi john gondi alisisitiza umuhimu wa ushirikiano huu ili kuimarisha sekta hiyo.