23 Oct 2025 1:26 pm | Citizen TV 333 views Duration: 1:15 Wakazi wa Magarini kaunti ya Kilifi wameandamana wakikashifu viongozi ambao wanaeneza matamshi ya ukabila kwa nia ya kuigawanya jamii ya eneo hilo