23 Oct 2025 1:32 pm | Citizen TV 481 views Duration: 2:09 Maelfu ya wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walio chini ya shirika la Githunguri Dairy watanufaika na ufadhili wa shilingi milioni 500 kutoka benki ya dunia.