23 Oct 2025 1:36 pm | Citizen TV 301 views Duration: 1:54 Serikali imechukua rasmi umiliki wa kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi milioni 35, kilichokuwa kimenyakuliwa katika eneo la milimani karibu na ikulu ya Bungoma .