Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wahofia majengo yao yatabomolewa sokoni kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    613 views
    Duration: 1:50
    Baadhi ya wafanyabiashara mjini Kebirigo eneo bunge la Mugirango Magharibi kaunti ya Nyamira, wamelalamikia hatua ya mamlaka ya barabara kuu nchini KENhA kulenga kubomoa nyumba pembezoni mwa barabara katika eneo hilo ili kuipanua .