23 Oct 2025 1:40 pm | Citizen TV 401 views Duration: 1:37 Hatima ya familia 21,179 za Kiboroa Squatters Alliance sasa imo mikononi mwa Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Kitale, ambayo imetangaza kuwa uamuzi wa mwisho wa kesi hiyo utatolewa Desemba 10 mwaka huu.