23 Oct 2025 1:46 pm | Citizen TV 418 views Duration: 1:57 Wakaazi wa Mwembetsungu eneo bunge la Kilifi South, kaunti ya Kilifi,wameandamana mapema leo wakidai fidia ya mashamba yao kutoka kwa kampuni ya usambazaji umeme nchini KETRACO.