- 430 viewsDuration: 3:36Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Maasai Stock Farmers wamekashifu vikali vitendo vinavyoendelea kuhusiana na mgogoro wa umiliki wa ardhi ya Kibiko, wakisema kuwa ardhi hiyo ni urithi wa mababu zao na si mali ya makundi mengine yanayodai umiliki wake.