Wafanyabiashara 4 wanaouza vitabu feki wakamatwa Nairobi

  • | Citizen TV
    764 views

    Wafanyabiashara wanne wa vitabu bandia wamekamatwa jijini Nairobi katika msako uliofanywa na kikosi cha maafisa wa upelelezi DCI pamoja na mashirika ya uchapishaji.