23 Oct 2025 7:40 pm | Citizen TV 1,306 views Duration: 1:38 Shughuli za kawaida zilitatizika kwenye barabara kuu ya Lodwar - Trans Nzoia kufuatia mauaji ya maafisa wawili wa akiba waliouawa jana kwenye makabiliano kati yao na maafisa wa jeshi.