23 Oct 2025 7:42 pm | Citizen TV 179 views Duration: 1:02 Msafara wa Jipange na Viusasa umeingia siku yake ya pili, ukizuru maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Meru. wakazi waliojitokeza kwa wingi kukutana na watangazaji wao wanaowapenda kutoka Muuga FM na Inooro FM