23 Oct 2025 7:44 pm | Citizen TV 220 views Duration: 56s Timu ya taifa ya wasichana ya Harambee Starlets iliandaa mazoezi ya mwisho hii leo katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo, tayari kwa mechi ya kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Afrika hapo kesho dhidi ya the Gambia