Watahiniwa wengi wa mtihani wa KCSE watia fora licha ya changamoto

  • | Citizen TV
    785 views

    Matokeo ya KCSE yaliyotangazwa Alhamisi yameangazia simulizi za kusisimua na za uvumilivu wa baadhi ya wanafunzi. Wanafunzi wengi walikabiliana na changamoto kubwa ili kutimiza ndoto zao na kuzoa alama za juu