Kaunti ya Laikipia yashirikiana na hospitali ya binafsi kuboresha huduma za afya

  • | KBC Video
    6 views

    Kaunti ya Laikipia yashirikiana Serikali ya Kaunti ya Laikipia imetia saini makubaliano ya ushirikiano na hospitali ya Outspan ili kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya. Ushirikiano huo pia utasaidia kushughulikia changamoto za afya ya akili katika eneo hilo.na hospitali ya binafsi kuboresha huduma

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive