- 3,911 viewsMaafisa wa polisi jijini Nairobi walirusha vitoa machozi kutawanya mkutano wa kisiasa wa viongozi wa Upinzani uliohudhuriwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na mwenzake wa Wiper Kalonzo Musyoka, katikati ya jiji. Hii ni baada ya viongozi hao kutangaza maandamano siku ya Ijumaa dhidi ya inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja, kuhusu madai ya polisi kuingilia mikutano ya kisiasa inayoandaliwa na Upinzani. Seth Olale na taarifa kamili.