- 13,877 viewsDuration: 2:42Katika tukio jingine la mauaji lililoripotiwa, msichana mmoja ameuawa baada ya kudungwa kisu na mtu anayesemekana kuwa mpenziwe katika eneo la Kilimani jijini Nairobi. Runinga ya Citizen imesema imekusanya picha za CCTV zinazoonyesha marehemu akijaribu kukimbia kutafuta usalama wake, lakini mshukiwa kwa jina Newton anamfuata na kumshambulia kwa kisu mara kadhaa.