24 Oct 2025 10:24 am | Citizen TV 8,704 views Duration: 2:01 Wanasiasa wa chama cha Wiper wamemsuta Rais William Ruto kwa kile wanachodai ni kudhalilisha jamii ya wakamba. Wanasiasa hao wanasema wamechoka na madharau yanayotoka serikalini.