24 Oct 2025 10:26 am | Citizen TV 479 views Duration: 2:01 Onyo kali limetolewa kwa watengezaji pombe haramu kutoka chesikaki eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao iwapo watapatikana.