- 150 viewsDuration: 1:34Wito umetolewa kwa jamii ya wafugaji ya Wasamburu kukomesha dhulma za kijinsia zinazozidi kuongezeka katika kaunti hiyo na kuipaka tope hadhi ya jamii ya wafugaji. Wito umetolewa kwa jamii ya wafugaji ya Wasamburu kukomesha dhulma za kijinsia zinazozidi kuongezeka katika kaunti hiyo na kuipaka tope hadhi ya jamii ya wafugaji.