24 Oct 2025 10:13 am | Citizen TV 484 views Duration: 2:32 Familia moja katika kaunti ya Kilifi inadai haki baada ya mpendwa wao kupigwa risasi na polisi na kuawa katika purukushani kati ya wanabodaboda na polisi.