24 Oct 2025 10:15 am | Citizen TV 2,592 views Duration: 2:02 Jaji mstaafu David Maraga amesisitiza kuwa atazingatia utekelezaji wa katiba na kukabiliana vikali na ufisadi iwapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu ujao.