- 169 viewsDuration: 1:45Kamishna wa kaunti ya Nyamira Erastus Mbui amewashauri wawaniaji wa viti vya wawakilishi wadi katika wadi za Ekerenyo, Nyamaiya na Nyansiongo katika kaunti hiyo, kishiriki kampeni za amani msimu huu wa chaguzi ndogo ambazo zitaandaliwa tarehe 27 mwezi Novemba.