Skip to main content
Skip to main content

Raila Odinga Junior kuchukua uongozi wa familia yake

  • | Citizen TV
    1,499 views
    Duration: 2:10
    Raila Odinga Junior amepewa uongozi wa familia ya Raila Odinga katika hafla maalum iliyofanyika katika shamba la Opoda huko Bondo. Junior alikabidhiwa ala za uongozi ukiwemo mkuki na ngao katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbali mbali. Hata hivyo, familia hiyo imebaini kuwa uongozi huo ni wa kifamilia pekee na hauna uhusiano wowote na maisha ya kisaisa ya hayati Odinga.